elru87tYGBGEm Halima Kopwe Kutoka Mtwara Ametangazwa Miss Tanzania 2022 - EDUSPORTSTZ

Latest

Halima Kopwe Kutoka Mtwara Ametangazwa Miss Tanzania 2022


Halima Kopwe (23) kutoka Mtwara ametangazwa Miss Tanzania 2022 usiku huu Mlimani City Dar es salaam akichukua taji hilo kutoka kwa Rose Manfere Miss Tanzania 2021, zawadi atazopewa Halima ni gari aina ya Mercedez Benz na Tsh. milioni 10 cash. #MillardAyoUPDATESDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz