Klabu ya Simba SC inataka si chini ya dola $100,000 (sawa na zaidi ya Tsh milioni 250) kwa kiungo mshambuliaji raia wa Cameroon, Willy Essomba Onana ili kumwachia katika dirisha lijalo la usajili.
Klabu ya Simba SC inataka si chini ya dola $100,000 (sawa na zaidi ya Tsh milioni 250) kwa kiungo mshambuliaji raia wa Cameroon, Willy Essomba Onana ili kumwachia katika dirisha lijalo la usajili. Taarifa kutoka ndani ya Simba Sc zinaeleza kuwa, APR FC, Js Kabylie, Supersport na Al Ahly Tripoli zote zimeonyeshwa nia ya kutaka huduma ya vijana hao.
Post a Comment