elru87tYGBGEm Advertisements - EDUSPORTSTZ

Latest

Advertisements

Contact Us

Email: edusportstz@gmail.com

WEB: www.eduspportstz.com


FURSA KWA WAFANYA BIASHARA, TAASISI NA MAKAMPUNI BINAFSI.

EDUSPORTSTZ FAHARI YA WASOMAJI NA MTANDAO UNAOKUA KWA KASI NCHINI TANZANIA,
INATANGAZA FURSA KWA WAFANYA BIASHANA NA MAKAMPUNI YANAYOTAKA KUPANUA BIASHARA ZAO KATIKA KIPINDI HIKI CHA MSIMU WA CHRISTMAS KAMA IFUATAVYO:

1: Kutanganza biashara yako kwa gharama ya shilingi elfu 5000 kwa siku
2; kukuunganisha na Wateja wa bidhaa yako Katika mitandao ya kijamii yaani digital Marketing.

3; 5 day free trial kwa makampuni na wafanyabiashara watakao taka kutangaza nasi kwa zaidi ya kipindi cha miezi 6.

4: Kutoa ushauri wa bure kwa Wateja wetu Ili kupanua kipato na kuongeza Thaman ya bidhaa au Huduma yako.

5;kufanya kazi na wewe bega kwa bega punde msaada wa ghafla unapohitajika.

VIGEZO
1; Mteja wa offer inatakia awe banner maalumu inayoonesha Huduma anayoitoa, Kama sivyo itakulazimu kulipa gharama ya shilingi 10,000/=Ili kutengenezewa na wataalamu wetu wa IT.

2: Wateja wa Huduma ya Matangazo chini ya miezi 6 watalazimika kulipia Ada ya tangazo Mara Tu baada ya tangazo kuonekana mtandaoni. Na kwa Wateja wa Huduma ya matangazo zaidi ya miezi 6 watalipa Ada ya nusu ya miezi ya Matangazo.
3: Kwa Huduma ya Matangazo, Andika Neno Tangazo, acha nafasi Na eleza bidhaa au huduma unayotaka kutangaza KWENDA  edusportstz@gmail.com


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz