Tetesi: Eng. Hersi amalizana na Kagoma - EDUSPORTSTZ

Latest

Tetesi: Eng. Hersi amalizana na Kagoma

Yusuph Kagoma

Ni leo Mashujaa vs Yanga usikose kuitazama mechi hii live bure kupitia simu yako bofya hapa kudownload app itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii live buree kabisa

Inaelezwa kuwa, Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutokea katika klabu ya Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka 2.

Inaelezwa kuwa, Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutokea katika klabu ya Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka 2. Viongozi wa klabu ya Yanga sc walipata nafasi ya kuitembelea familia ya Yusuph Kagoma hapa kigoma na kuwajulisha kuwa Yusuph kagoma ataichezea Yanga msimu ujao na Familia yake imetoa baraka kwake.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz