BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Showing posts with label Lesson. Show all posts
Showing posts with label Lesson. Show all posts

Friday, 7 September 2018

07 September

Waliochaguliwa kidato cha Tano 2018/19

Serikali ya Tanzania imetoa orodha nyingine ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano awamu ya pili kwa mwaka huu 2018 wanaotakiwa kuripoti mashuleni kuanzia septemba 23-30.
Waliochaguliwa kidato cha Tano 2018/19


TAARIFA KWA UMMA

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano Awamu ya Pili 
kwa mwaka 2018 wanatakiwa kuripoti kuanzia tarehe 21 hadi 30
Septemba, 2018 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. 
Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa 
wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti hadi tarehe 30
Septemba, 2018 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake 
atakuwa ameipoteza.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano
Awamu ya Pili pamoja na fomu za kujiunga (joining instructions) 
inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz
Mwanafunzi mara upatapo jina umechaguliwa inabidi uangalie fomu ya 
kujiunga na shule husika kwenye mtandao na huwajibiki kwenda kwenye 
shule husika wala kupiga simu. 
Imetolewa 
Katibu Mkuu,
OR-TAMISEM

 ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI BOFYA HAPA

Thursday, 6 September 2018

06 September

ORODHA YA WANAFUNZI WALIODAHILIWA UDSM, MUCE NA DUCE

Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kilichopo jijini Dar es salaam , kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.  Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa imeambatanishwa mwishoni mwa posti hii
ORODHA YA WANAFUNZI WALIODAHILIWA UDSM, MUCE NA DUCE
Chuo kikuu cha Dar es  salaam (UDSM) kilichopo jijini Dar es salaam , kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019. 


Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa imeambatanishwa mwishoni mwa posti hii

KUHUSU CHUO KIKUU CHA UDMS NA VIUNGA VYAKE

The University of Dar es salaam is the oldest and biggest public university in Tanzania. It is situated on the western side of the city of Dar es salaam, occupying 1,625 acres on the observation hill, 13 kilometers from the city centre. It was established on 1st July 1970, through parliament act no. 12 of 1970 and all the enabling legal instruments of the constituent colleges. Prior to 1970, the university college, Dar es Salaam had started on 1st July 1961 as an affiliate college of the University of London. It had only one faculty- the faculty of Law, with 13 students.


In 1963 it became a constituent college of the university of East Africa together with Makerere University College in Uganda and Nairobi University College in Kenya. Since 1961, the University of Dar es Salaam has grown in terms of student intake, academic units and academic programmes.
To check the Status of the List Of Selected Applicants University at Dar es Salaam – UDSM for 2018/2019 Academic year login into your account through the link below:Applicants who have been selected to join various undergraduate degree programmes for the 2018/2019 academic year at the Mwl. J.K. Nyerere Mlimani Campus; Dar es Salaam University College of Education (DUCE); and Mkwawa University College of Education (MUCE)

UNDERGRADUATE ADMISSIONS FOR 2018/2019 ACADEMIC YEAR - MULTIPLE ADMISSIONS - 1ST ROUND

The following applicants have been selected to join various undergraduate degree programmes for the 2018/2019 academic year. However, they have also been selected to join other Institutions. Kindly log into your UDSM Admission system and confirm your admission to UDSM before 10th September 2018. Failure to confirm by the deadline will indicate that you have not accepted the offer and your slot will be filled by other applicants. After confirmation, the selected applicants should report at their respective Campus on Saturday 27th October 2018 for the orientation week which will start on Monday 29th October 2018. Joining instructions and admission letters should be collected at the respective Campus. Joining instructions and other important information can also be downloaded from the University website at www.udsm.ac.tz (go to Undergraduate Section).
ORODHA YA WALIODAHILIWA CHUO ZAIDI YA KIMOJA KWA UDSM BOFYA HAPA


kwa orodha ya vyuo vingine bofya link hizi hapa chini

Wednesday, 5 September 2018

05 September

ORODHA YA WALIODAHILIWA SUA UNIVERSITY

Chuo kikuu cha sokoine (SUA) kilichopo mkoani Morogoro, kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.
ORODHA YA WALIODAHILIWA SUA UNIVERSITY 
Chuo kikuu cha sokoine (SUA) kilichopo mkoani Morogoro, kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019. 

Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa imeambatanishwa mwishoni mwa posti hii.
  

UJUMBE KUTOKA CHUONI KWA WALIOCHAGULIWA SUA 

prospective Students are advised to observe the following:
All candidates selected to join BSc. Environmental Science and Management, Bachelor of Tourism Management, Bachelor of Rural Development, BSc. Agricultural Economics and Agribusiness, BSc. Applied Agricultural Extension, BSc. Range Management, BSc. Informaticsand all BSc. Education11q programs are supposed to report to Solomon Mahlangu Campus (SMC) – Mazimbu, whereas, students for other programs will report to the Main Campus (MC).
All students are required to participate in a mandatory orientation programme planned to starts on 29th October, 2018
Admitted students should download admission letters and invoice at www.suasis.sua.ac.tz through their SUASIS (SUA Student Information System) account. SUASIS can be accessed using the username and password provided to you during application.
Each student Must upload a recent and high quality passport size photo on their web page before arrival for official use. This must be of the same 777quality as those used for passports or Identity card. 


Tuesday, 4 September 2018

04 September

ORODHA YA WALIODAHILIWA ARDHI UNIVERSITY

Chuo kikuu cha Ardhi (ARU) kilichopo mkoani Dar es salaam, kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.
ORODHA YA WALIODAHILIWA ARDHI UNIVERSITY

Chuo kikuu cha Ardhi (ARU) kilichopo mkoani Dar es salaam, kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.
04 September

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU UDOM 2018/2019

Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kilichopo mkoani Dodoma, kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.
ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU UDOM 2018/2019


Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kilichopo mkoani Dodoma, kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa imeambatanishwa mwishoni mwa posti hii.


Ujumbe kutoka chuo kikuu mzumbe kwa waombaji wote


ANNOUNCEMENT FOR APPLICANTS
ADMITTED INTO DIFFERENT STUDY
PROGRAMMES AT UDOM WITHOUT
MULTIPLE ADMISSION FIRST ROUND

The University of Dodoma (UDOM) is pleased to notify the general public that the


process of selection and admission of applicants into different study programmes forfirst round at UDOM has been completed. The list of successful applicants is attached.All applicants admitted into different study programmes will receive admission lettersthrough their profiles in the admission system (http://application.udom.ac.tz) on 10th

September, 2018.
UDOM would like to take this opportunity to congratulate all successful applicants and


cordially welcome them to the University.

To successful applicants: We are ready to learn from you; be ready to learn from us.
ISSUED BY
OFFICE OF THE DEPUTY VICE CHANCELLOR – ACADEMIC, RESEARCH AND


CONSULTANCY

2018.09.02

Pia pitia link hizi kwa orodha ya vyuo vingine
Monday, 3 September 2018

03 September

ORODHA YA WANAFUNZI WALIODAHILIWA CHUO CHA CBE

Chuo kikuu cha mzumbe kilichopo mkoani Morogoro wilaya ya mvumero, kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.
Chuo kikuu cha CBE kilichopo mkoani chenye kampasi zake Mwanza na Dar es salaam, kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.
 Kuhusu udahili huu chuo kikuu CBE
Wanafunzi wafuatayo wamechaguliwa kujiunga na Programu mbalimbali za Hati, Diploma na Masters kwa mwaka wa kwanza katika mwaka wa masomo 2018/2019.

Kwa wale ambao hawakukusanya fomu zao za maagizo tafadhali tafadhali njoo kukusanya fomu kwenye ofisi yetu ya kuingia. Wale ambao ni wafuasi wanaweza kukusanya fomu kupitia tovuti yetu au kutuma barua pepe zao (sms) kupitia namba ya simu 0655079069/0713589795 (kwa kutaja majina na programu zao ambazo wamechaguliwa).

BOFYA HAPA KWA ORODHA YA WALIOCHAGULIWA DAR ES SALAAM CAMPAS


BOFYA HAPA KUIONA ORODHA YA WALIOCHAGULIWA MWANZA CAMPAS YA CBE

Pia pitia link hizi03 September

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU RUAHA

Chuo kikuu cha ruaha kimetoa orodha ya wanafunzi waliodahiliwa chuoni hapo kwa roundi ya kwanza ngazi ya degree mwaka wa masomo 2018/2019.
Chuo kikuu cha ruaha kimetoa orodha ya wanafunzi waliodahiliwa chuoni hapo kwa roundi ya kwanza ngazi ya degree mwaka wa masomo 2018/2019.

 Orodha hiyo ya wanafunzi iliyotolewa imehainishwa mwishoni mwa posti hii👉👇👈

Kuhusu chuo kikuu cha ruaha

Ruaha Chuo Kikuu cha Katoliki (RUCU) ni mrithi wa Chuo Kikuu cha Ruaha Chuo Kikuu cha Ruaha kilichoanzishwa na Mkutano wa Maaskofu wa Maaskofu Tanzania (TEC) chini ya Sheria Yake ya Uaminifu wa Wasimamizi wa Usajili wa Chuo Kikuu cha Ruaha kwa msaada wa ukarimu wa marafiki wa RUCU ) ndani na nje ya nchi.

Chuo Kikuu kinatawala na kinasimamiwa kwa mujibu wa Sera ya Kanisa Katoliki katika Taasisi za Elimu za Juu - Ex Corde Ecclesia na masharti ya katiba ya kuanzisha Chuo Kikuu. Hata hivyo, RUCU ni taasisi ya kibinafsi na kidunia ya elimu ya juu ambayo ni wazi kwa wote bila kujali imani yao au ushirikiano wa kidini. Haina ubaguzi kwa sababu yoyote kama vile imani au asili zao, ushirika wa dini, rangi, ukabila, jinsia, ulemavu au mimba.

BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WALIOCHAGULIWA RUAHA UNIVERSITY ROUND YA 1

03 September

ORODHA YA WAOMBAJI WALIODAHILIWA MUSLIMU UNIVERSITY

Chuo Kikuu cha Kiislam cha Morogoro kimetoa orodha ya wanafunzi waliodahiliwa kwa mafunzo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.
Chuo Kikuu cha Kiislam cha Morogoro kimetoa orodha ya wanafunzi waliodahiliwa kwa mafunzo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.
Majina hayo yamehainishwa mwishoni mwa ujumbe huu chini.

Kuhusu chuo kikuu cha Muslimu(Mum)

Chuo Kikuu cha Kiislam cha Morogoro kilianzishwa na Foundation ya Maendeleo ya Kiislamu (MDF) mnamo Oktoba 23, 2004 na Mkataba uliotangazwa na MDF, wamiliki wa Chuo Kikuu.

Chuo Kikuu iko kaskazini mwa Milima ya Uluguru yenye ukubwa, kilomita 4 kutoka katikati ya Manispaa ya Morogoro, karibu na mita 100 kutoka barabara kuu ya Morogoro-Dodoma na karibu dakika 10 kutembea kutoka kwenye kituo kikuu cha basi. Chuo kinachukua hekta 21.

Chuo Kikuu hutoa programu za shahada ya kwanza katika uwanja tofauti wa masomo ikiwa ni pamoja na sayansi, sciece ya jamii, sanaa na kidini. Inatoa vyeti, diploma na digrii.

BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WALIODAHILIWA MUM

Pia pitia link hizi kwa orodha ya vyuo vingine03 September

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU MZUMBE 2018/2019

Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa chuo kikuu mzumbe imeambatanishwa mwishoni mwa posti hii.
Chuo kikuu cha mzumbe kilichopo mkoani Morogoro wilaya ya mvumero, kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na masomo ya degree kwa mwaka wa masomo 2018/2019.

 Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa imeambatanishwa mwishoni mwa posti hii.

Ujumbe kutoka  chuo kikuu mzumbe kwa waombaji wote 

Dear applicants, we congratulate all those who are selected to join various undergraduate programmes in this first round of selection. It is important to note that those who have multiple selections (that is, they have been selected in more than one University) they have to confirm to only one University. In order to confirm to Mzumbe University, please log in hereand enter the secret CODE that was sent to your phone number that you used when applying to Mzumbe University, in the text box provided and click confirm.
Those who are not selected in the first round, please log in here and you will find the reasons as to why you are not selected. Please use the correct username and password as you entered when you were creating your account. First round selection was based on ranking of academic performance according to the three choices you made and the capacity of the programme (total number of the students in the particular programme). Ina that case, you can now log into your accounts and select same/new programmes depending on whether those programmes still have vacancies for selection. If you see any programme available for selection, then you can select it depending on your qualifications. Please read carefully minimum qualifications before you select programmes.
Those who did not meet minimum qualifications or they did not follow proper procedures during the first round of application, they are required to log into their respective accounts and re-start again their applications. You may change level from Bachelor to Diploma or from Diploma to Certificate depending on your academic qualifications. This will require you to pay once again application fee.

 BOFYA HAPA KUONA MAJINA YA WALIODAHILIWA CHUO KIKUU MZUMBE

Pia pitia link hizi kwa orodha ya vyuo vingine
Sunday, 2 September 2018

02 September

ORODHA YA WAOMBAJI WALIODAHILIWA NA CHUO ZAIDI YA KIMOJA


Orodha ya waliodahiliwa na chuo zaidi ya kimoja.
Mamlaka ya vyuo vikuu nchini imetoa orodha ya majina rasmi ya waombaji waliodahiliwa na chuo zaidi ya kimoja.

Tcu kupitia tovuti yao wameandika yafuatayo:

ORODHA YA WAOMBAJI WALIODAHILIWA NA CHUO ZAIDI
YA KIMOJA KWA MWAKA WA MASOMO 2018/19 


Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia umma kuwa imekamilisha 

uhakiki wa sifa za waombaji waliodahiliwa na taasisi za Elimu ya Juu kwa 

mwaka wa masomo 2018/19. Orodha za majina ya waombaji 

zilizowasilishwa Tume na vyuo kwa ajili ya uhakiki zimesharejeshwa vyuoni 

pamoja na matokeo ya uhakiki ili vyuo husika viweze kutangaza majina ya 

waliowadahili. 

Hata hivyo, katika orodha hizo wako waombaji waliodahiliwa na vyuo zaidi 

ya kimoja. Orodha yao na vyuo walivyodahiliwa inapatikana kupitia tovuti ya 

Tume www.tcu.go.tz. Aidha, waombaji wa aina hii wamejulishwa kuhusu 

udahili wao kupitia ujumbe mfupi uliotumwa kwenye namba za simu za 

mikononi walizotumia wakati wa kuwasilisha maombi ya kujiunga na vyuo

husika. 

Tume inapenda kuwatangazia wote waliodahiliwa zaidi ya chuo kimoja 

kuthibisha udahili katika chuo kimoja tu mwombaji anachopendelea 

kujiunga. Mwombaji anatakiwa kufuata utaratibu ufuatao:

1) Kunakili namba maalumu (special code) iliyotumwa kwa njia ya 

ujumbe mfupi kwenye simu yake;

2) Kutumia nywila (password) kuingia katika profile yake iliyo katika 

mfumo wa udahili wa chuo anachokipenda kati ya vile alivyodahiliwa;

3) Kuingiza namba hiyo maalumu katika mfumo wa udahili wa chuo ili 

kuthibitisha udahili wake katika chuo hicho; na

4) Kuthibitisha udahili wake katika chuo kimoja kabla ya terehe 5 

Septemba 2018. 

Tume inapenda kusisitiza kuwa, mwombaji atakayeshindwa kuthibitisha 

udahili wake katika muda uliopangwa, atapoteza nafasi yake na kulazimika 

kuomba upya katika awamu zitakazofuata. 

Imetolewa 

na

Katibu Mtendaji 

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania 

Saturday, 19 May 2018

19 May

MAMBO 10 YAKUKUMBUKA WAKATI UNAOMBA MKOPO HESLB


jengo la bodi ya mikopo
moja ya picha ya paspoti inayotakiwa (dimension ya 150x160)
 1. Waombaji wanashauriwa kuhakiki vyeti vyao vya elimu
 2. Waombaji wanashauriwa kuwasilisha vyeti vyao vya kuzaliwa kwa ajili ya kuvihakiki kwa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini(RITA).
 3. Waombaji ambao wazazi wao wamefariki wanashauriwa kuwasilisha vyeti vya vifo kwa ajili ya kuvihakiki kwa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini(RITA).
 4. Waombaji na wadhamini wao wanakumbushwa kuweka sahihi kwenye ukurasa wa 2 na 5.
 5. Waombaji wanakumbushwa kuweka sahihi na mihuri ya Serikali za Mitaa na Kamishna wa Kiapo au Wakili.
 6. Waombaji wanatakiwa kupakia viambatanisho vyote vya muhimu pamoja na kurasa ya 2 na 5.
 7. Waombaji wanashauriwa kutunza nakala moja ya maombi.
 8. Waombaji wanatakiwa wazingatie siku ya ukomo wa maombi ambayo ni tarehe 15 Julai 2018.
 9. To view/complete your loan application, go to My Application link on the left side.
 10. Kwa kuangalia/kumalizia maombi yako ya mkopo, nenda kwenye My Application.


Thursday, 19 April 2018

19 April

MAMBO 13 USIYOYAJUA KUHUSU NYANGUMI
1. Moyo wa nyangumi una kilo 600.

2. Mtoto wa nyangumi ananyonya lita 600 kila siku ikiwa ni mwaka wa kwanza tu.

3. Mtoto wa nyangumi anakuwaga na uzito wa ki 2700 ambao ni sawa na kifaru mkubwa saizi ya mwisho.

4. Uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa na tani 200 adi 300 mmoja jike alikamatwa na kupimwa alikutwa na kilo 171000.

5. Ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito wa tembo mkubwa.

6. Mdomo wa nyangumi unauwezo wa kuifazi tani 90 za chakula na maji akiufungua mpaka mwisho.

7. Chakula kikubwa cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4000000 kwa siku.

8. Ili nyangumi ashibe zaidi anakula kilo 3600.

9. Nyangumi anaweza kuishi miaka zaid ya 250.

10. Baazi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwa kiasi kwamba binadamu anaweza kuogelea ndani ya mishipa hiyo bila kugusa gusa pembeni.

11. Ukubwa wa nyangumi unaweza kuwa zaidi ya ndege aina ya ‪#‎boeing‬

12. Urefu wa nyangu unakadiriwa kuwa mita 30mpaka 50 uki muweka ardhini urefu wake ni sawa na urefu utakao jitokeza baada ya kuya panga magari 9 ya familia, alie kamatwa mara ya mwisho alikuwa na urefu wa mita 33.

13. Nyangumi ndiye mnyama mwenye sauti kubwa kuliko kitu chochote hapa duniani hutoa sauti kali sana kipimo cha DECIBLES_188 ambayo inaweza kusikika umbali wa kilo mita 848 ni sauti kubwa na kali kuliko sauti itoayo ndgege kubwa aina ya JET inapo anza kupaa ambapo kipimo cha sauti ya JET ni DECIBLES_120.

Saturday, 31 March 2018

Saturday, 24 March 2018

24 March

TAARIFA YA KUFUNGIA VYUO 163 , ORODHA YA VYUO 240 VINAVYO RUHUSIWA KUDAHILI WANAFUNZI

BARAZA la Taifa la Elimu na Ufundi (Nacte) limezuia vyuo 163 kudahili wanafunzi katika kozi mbalimbali ngazi ya astashahada na shahada, baada ya kukutwa na upungufu ikiwako kutokuwa na walimu wenye sifa.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Machi 23 Mkuu wa Ufuatiliaji na Tathmini wa Nacte, Dkt. Annastella Sigwejo amesema walifanya uhakiki kwa vyuo 459, kati ya hivyo 296 ndivyo vimekidhi vigezo vya kutoa elimu kwa kiwango kinachotakiwa.

“Kutokana na hali hiyo hivyo ndivyo vinaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa ajili ya kozi mbalimbali ngazi ya astashahada na stashahada kwa muhula wa udahili wa Machi na Aprili mwaka huu.”Amesema licha ya kwamba vyuo vilivyosajiliwa viko 580 waliamua kujiridhisha kwa kuvifanyia uhakiki ambapo walifanikiwa kuhakiki vyuo 459.

Nacte wanawashauri wanafunzi kuhakikisha wanajiridhisha kuwa wanaomba kujiunga kwenye vyuo vilivyokidhi vigezo.

Mkuu wa Kitengo cha Udahili, Twaha Twaha amesema kuwa majina ya vyuo vilivyoruhusiwa kudahili yamewekwa kwenye tovuti ya Nacte.

“Hivyo Nacte inashauri waombaji wa udahili kujiridhisha kwa kuangalia hiyo orodha iwapo chuo anachokitaka kinaruhusiwa kudahili,”amesema Twaha.

Orodha ya Vyuo/Taasisi Zinazoruhusiwa Kufanya Udahili wa Wanafunzi Wapya

Na. Jina la Chuo/Taasisi
1 Agency for Development of Education Management (ADEM) – Mbeya Campus
2 AMO Training Centre – Bugando
3 Arafah Teachers’ College – Tanga
4 Archbishop John Ramadhan School of Nursing – Korogwe
5 Ardhi Institute – Tabora
6 Ardhi Institute Morogoro – Morogoro
7 Arusha Institute of Business Studies – Arusha
8 Arusha Lutheran Medical Centre School of Nursing – Arusha
9 Arusha Technical College – Arusha
10 Assistant Medical Officers Training College -Mbeya
11 Bagamoyo College of Arts (TaSUBa) – Bagamoyo)
12 Bagamoyo School of Nursing – Bagamoyo
13 Bariadi Teachers College – Bariadi
14 Berega School of Nursing – Kilosa
15 Besha Health Training Institute – Tanga
16 Bishop Nicodemus Hando College of Health Sciences – Babati
17 Borigaram Agriculture Technical College – Dar es Salaam
18 Bugando School of Nursing – Nyamagana
19 Bulongwa Health Sciences Institute – Makete
20 Bulongwa Training Institute – Makete
21 Bustani Teachers’ College – Kondoa
22 Butimba Teachers College – Nyamagana
23 Capital Teachers’ College – Dodoma
24 Centre for Educational Development in Health Arusha
25 Centre for Foreign Relations – Dar-es-Salaam
26 Coast Teachers College – Kibaha
27 College of Business and Management – Dar es Salaam
28 College of Business Education – Dar-es-Salaam
29 College of Business Education – Dodoma
30 College of Business Education – Mwanza Campus
31 Dabaga Institute of Agriculture – Kilolo
32 Dar es Salaam School of Journalism – Dar es Salaam
33 Dar-es-Salaam Institute of Technology – Dar-es-Salaam
34 Dar-es-Salaam Maritime Institute – Dar-es-Salaam
35 Dodoma Institute of Development and Entrepreneurship – Dodoma
36 Eastern Africa Statistical Training Centre – Dar-es-Salaam
37 Eastern and Southern African Management Institute – Arusha
38 Ebonite Institute of Education – Dar es Salaam
39 Eckernforde Teachers’ College – Tanga
40 Elijerry Training Centre – Muheza
41 Faraja Health Training Institute – Moshi
42 Fisheries Education and Training Agency (FETA) Mbegani – Bagamoyo
43 Fisheries Education Training Agency (FETA) – Nyegezi
44 Forest Industries Training Institute (FITI) – Moshi
45 Forestry Training Institute (FTI) Olmotonyi – Arusha
46 Future World Business College – Dar es Salaam
47 Geita School of Nursing – Geita
48 Habari Maalum College – Arusha
49 Heri Nursing School – Kigoma
50 Horticultural Research and Training Institute – Tengeru Arusha
51 Huruma Health Training Institute – Rombo
52 Igabiro Training Institute of Agriculture – Muleba
53 Ilasi Training Institute – Mbozi
54 Ilembula Institute of Health and Allied Sciences – Njombe
55 Ilonga Teachers’ College – Kilosa
56 Ilula Nursing School – Kilolo
57 Institute of Accountancy Arusha – Arusha
58 Institute of Adult Education – Dar-es-Salaam
59 Institute of Adult Education – Mwanza
60 Institute of Finance Management – Dar-es-Salaam
61 Institute of Finance Management – Mwanza Campus
62 Institute of Judicial Administration – Lushoto
63 Institute of Procurement and Supply – Dar-es-Salaam
64 Institute of Rural Development and Planning – Dodoma
65 Institute of Rural Development and Planning – Mwanza Campus
66 Institute of Social Work – Dar-es-Salaam
67 Institute of Tax Administration – Dar-es-Salaam
68 Institution of Construction Technology – Morogoro
69 International Film Angels Training School – Dar-es-Salaam
70 Isimila Nursing School – Iringa
71 Kabanga School of Nursing – Kasulu
72 Kahama College of Health Sciences – Kahama
73 Kairuki School of Nursing – Dar es Salaam
74 Kaliua Institute of Community Development -Tabora
75 KAM college of Health Sciences – Dar es Salaam
76 KAPS Community Development Institute – Mufindi
77 Karagwe Institute of Allied Health Sciences – Karagwe
78 Karatu Health Training Institute – Karatu
79 Karume Institute of Science and Technology – Zanzibar
80 Kasulu Teachers College – Kasulu
81 Katoke Teachers College – Muleba
82 Katoro Teachers College – Bukoba
83 KCMC AMO General School Moshi – Moshi
84 KCMC AMO Ophthalmology School – Moshi
85 KCMC School of Physiotherapy – Moshi
86 Kibaha College of Health and Allied Sciences – Kibaha
87 Kidugala Teachers College – Njombe
88 Kilacha Agriculture and Livestock Training Institute – Moshi
89 Kilema College of Health Sciences – Moshi
90 Kilimanjaro Agricultural Training Centre – Moshi
91 Kilimanjaro Institute of Technology and Management – Dar es Salaam
92 Kilimanjaro International Institute for Telecommunications, Electronics and Computers (KIITEC) – Arusha
93 Kilimanjaro Modern Teachers’ College – Moshi
94 Kilimanjaro School of Pharmacy – Moshi
95 Kilombero Agricultural Training and Research Institute (KATRIN) – Kilombero
96 King’ori Teachers’ College – Arusha
97 Kirinjiko Islamic Teachers’ College – Same
98 Kisanga Teacher’s College – Dar es Salaam
99 Kisongo Teachers’ College – Arusha
100 Kiuma Nursing School -Tunduru
101 Kiuma Teachers College – Tunduru
102 Kizimbani Agricultural Training Institute – Zanzibar
103 Kolandoto College of Health Sciences – Shinyanga
104 Korogwe Teachers College – Korogwe
105 Landmark Institute of Education Sciences and Technology – Geita
106 Livestock Training Agency – Mpwapwa
107 Livestock Training Agency (LITA) – Dar es Salaam
108 Livestock Training Agency (LITA) – Morogoro
109 Livestock Training Agency (LITA) Mabuki – Misungwi
110 Livestock Training Agency Buhuri Campus – Tanga
111 Livestock Training Agency Kikulula – Karagwe
112 Livestock Training Agency Tengeru Campus –Arusha
113 LUA Teacher’s College – Dar es Salaam
114 Lugala School of Nursing – Ulanga
115 Lugalo Military College of Medical Sciences – Dar es Salaam
116 Lugarawa Health Training Institute – Ludewa
117 Mabughai Community Development Technical Training Institute – Lushoto
118 Machame Health Training Institute – Moshi
119 Makambako Institute of Health Sciences – Makambako
120 Malya College of Sports Development – Kwimba
121 Mamire Teachers’ College – Babati
122 Mamre Agriculture and Livestock College – Wanging’ombe
123 Mandaka Teachers’ College – Moshi
124 Mary Queen Technology College – Morogoro
125 Mbalizi Polytechnic College – Mbeya
126 Meteorological Training Cntre – Kigoma
127 Military Aviation School – Ngerengere
128 Mineral Resources Institute – Dodoma
129 Ministry of Agriculture Training Institute – Mbeya
130 Ministry of Agriculture Training Institute (MATI) Ilonga – Kilosa
131 Ministry of Agriculture Training Institute (MATI) Mtwara – Mtwara
132 Ministry of Agriculture Training Institute Igurusi -Mbeya
133 Mirembe School of Nursing – Dodoma
134 MISO Teachers College – Mufindi
135 Mkolani School of Nursing and Midwifery – Mwanza
136 Monduli Teachers’ College – Monduli
137 Montessori Teacher Training College – Mtwara
138 Montessori Teachers’ Training Centre – Lushoto
139 Montessori Training Centre – Mwanza
140 Moravian Teachers Training College – Mbeya
141 Morogoro Teachers College – Morogoro
142 Moshi Teachers’ College – Moshi
143 Mpuguso Teacher Training College – Tukuyu
144 Ms Training Centre for Development Cooperation – Arusha
145 Mt. Maria Goretti Agriculture Training Institute – Kilolo
146 Mtwara (K) Teachers College – Mtwara
147 Mtwara (U) Teachers College – Mtwara
148 Mtwara Clinical officers training Centre – Mtwara
149 Mtwara Nursing Training College (MNTC) – Mtwara
150 Mufindi Teachers College – Mufindi
151 MusomaUtalii College – Tabora
152 Muyoge Health Science and Management College – Mafinga
153 Mvumi Institute of Health Sciences – Dodoma
154 Mwambani School of Nursing – Songwe
155 Mweka College of African Wildlife Management – Moshi
156 Nachingwea Teachers College -Nachingwea
157 National College of Tourism (NCT), Temeke Campus – Dar es Salaam
158 National College of Tourism, Bustani Campus – Dar es Salaam
159 National Institute of Transport – Dar-es-Salaam
160 Nazareth College of Education – Mbinga
161 Ndala Teachers’ College – Nzega
162 Ndolage School of Nursing – Bukoba
163 New Mafinga Health and Allied Institute – Mafinga
164 Newala School of Nursing – Mtwara
165 Njombe Health Training Institute – Njombe
166 Njombe School of Nursing – Njombe
167 Njuweni Institute of Hotel, Catering and Tourism Management – Kibaha
168 Nkinga Institute of Health Sciences – Igunga
169 Northern Highlands Teachers’ College – Moshi
170 Operating Theatre Management School – Mbeya
171 Paradigms College of Health Sciences – Dar es Salaam
172 Paradise Business College – Sumbawanga
173 Peramiho School of Nursing – Songea
174 Primary Health Care Institute – Iringa
175 Richrice Teachers College – Geita
176 Rubya Health Training Institute – Muleba
177 Rungemba Teacher College – Iringa
178 Rungwe International College of Business and Entrepreneurship Development – Rungwe
179 School of Optometry – KCMC – Moshi
180 Sengerema Clinical Officers Training Institute – Sengerema
181 Shaalika Institute of Science and Technology – Same
182 Shinyanga Teachers College – Shinyanga
183 Shirati College of Health Scinces – Rorya
184 Shiwanda Teachers College – Mbozi
185 Singachini Teachers’ College – Moshi
186 Singida Health Laboratory Assistants School – Singida
187 Songe Teachers’ College – Kilindi
188 Songea Teachers College – Songea
189 Sr. Dr. Thekla Nyangao School of Nursing – Mtwara
190 St Aggrey College of Health Science – Mbeya
191 St. Alberto Teachers College – Musoma
192 St. Bakhita Health Training Institute – Nkasi
193 St. Bernard Teachers’ College – Singida
194 St. Francis Technical College – Dar es Salaam
195 St. Gaspar School of Nursing – Itigi
196 St. John College of Health Science – Mbeya
197 St. Magdalene School of Nursing – Misenyi
198 St. Mary’s Teachers College – Dar es Salaam
199 St. Monica Teachers College – Iringa
200 St. Rock College of Early Education – Korogwe
201 Sumve School of Nursing – Kwimba
202 Sunrise Teachers College – Mbozi
203 Suye Health Institute – Arusha
204 Tanzania Correctional Training Academy – Dar es Salaam
205 Tanzania Geommological Centre – Arusha
206 Tanzania Institute of Accountancy – Dar-es-Salaam
207 Tanzania Institute of Accountancy – Mbeya Campus
208 Tanzania Institute of Accountancy – Mwanza Campus
209 Tanzania Institute of Accountancy – Singida Campus
210 Tanzania Peoples Defence Force ICT Centre – Dar es Salaam
211 Tanzania Police School – Moshi
212 Tanzania Police Staff College – Kidatu
213 Tanzania Regional Immigration Training Academy – Moshi
214 Tanzania Training Center for International Health (TTCIH) – Ifakara
215 Tengeru Community Development Training Institute – Arusha
216 The Mwalimu Nyerere Memorial Academy – Dar-es-Salaam
217 The Mwalimu Nyerere Memorial Academy – Zanzibar
218 Triple J Institute of Social Studies – Arusha
219 Tumaini Jipya Medical Training School – Mafinga
220 Tusaale Business and Planning College – Mafinga
221 Tusaale Teachers College – Mufindi
222 Unique Academy – Dar-es-Salaam
223 University Computing Centre – Dodoma
224 University of Dar es Salaam Computing Centre – Arusha
225 University of Dar es salaam Computing Centre – Mbeya Campus
226 University of Dar es Salaam Computing Centre – Mwanza
227 Ununio Institute of Professionals – Dar es Salaam
228 Vector Control Training Centre – Muheza
229 VETA Kipawa ICT Centre – Dar es Salaam
230 Vikindu Teachers College – Mkuranga
231 Visele Live-Crop Skills Training Centre – Mpwapwa
232 Waama Lutheran Teachers’ College – Mbulu
233 Wami International College of Business Management – Morogoro
234 Water Development and Management Institute – Dar-es-Salaam
235 Wesley College – Mwanza
236 Yohana Wavenza Health Institute – Songwe
237 Zanzibar College of Business Education – Zanzibar
238 Zanzibar Law Resource Centre – Zanzibar
239 Zanzibar Police College – Zanzibar
240 Zanzibar School of Journalism and Media Studies – Zanzibar

IMETOLEWA NA:

OFISI YA KATIBU MTENDAJI

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)

TAREHE : 20 Machi, 2018

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ