Tetesi: Dube anapasha misuli Avic Town - EDUSPORTSTZ

Latest

Tetesi: Dube anapasha misuli Avic Town

Tetesi: Dube anapasha misuli Avic Town

Kesho kutwa ni Yanga vs Mashujaa wananchi hawana dogo usikose kuitazama mechi hii live buree kabisa kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live bureee kabisa bofya sasa

Inaelezwa kuwa Mwana Mfalme Prince Mpumelelo Dube tayari ameshaanza mazoezi na Klabu ya Yanga kwa muda wa zaidi ya wiki sasa akiweka mwili wake sawa baada ya kuachana na Azam FC.

taarifa za ndani kutoka Yanga zinadai kuwa Prince Dube tayari ameshasaini mkataba wa awali na klabu ya Yanga kwa ajili ya kuwatumikia msimu ujao na mkataba huo ni wa miaka 2 kuichezea klabu ya Yanga baada ya kugomea ofa ya Simba.

Inaelezwa kuwa Dube alipoanza mazoezi siku ya kwanza alikabidhiwa jezi namba 9 iliyokua inavaliwa na Mshambuliaji kiongozi wa zamani wa klabu ya Yanga Fiston Mayele ila ameikataa na kuuomba uongozi umpatie jezi namba 29 aliyokua anavaa tangu yupo Azam Fc.

Klabu ya Yanga imemuaminisha Dube kuwa suala lilipo Kati yake na Klabu ya Azam litamalizwa muda si mrefu na yeye atakua huru. Clement Mzize atampisha Dube Young Africans.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz