Yanga sasa ruksa kusajili - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga sasa ruksa kusajili

Yanga sasa ruksa kusajili

Kesho ni Yanga vs Mashujaa wananchi hawana dogo usikose kuitazama mechi hii live buree kabisa kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live bureee kabisa bofya sasa

Klabu ya Yanga ilifungiwa usajili baada ya taarifa za Malipo ya mchezaji wao wa zamani Mamadou Doumbia kuchelewa kuingia kwenye mfumo kutokana na kuchelewa kufanya sasahisho la mfumo.

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Ally Kamwe ameeleza hayo kupitia TBC Taifa kuwa taarifa za Pacome kusababisha kifungo hicho ni uzushi na ndio maana Pacome Alikuwepo uwanjani Katika hatua nyingine.

Klabu hiyo imekamilisha malipo yote na kupandisha taarifa zote kwenye mfumo wa FIFA za nyota huyo sanjari na kulimaliza suala la malipo ya mchezaji wao wa zamani Lazarious Kambole.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz