TANZANIA MAMBO MAGUMU VIWANGO VYA UBORA VYA FIFA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 4 May 2017

TANZANIA MAMBO MAGUMU VIWANGO VYA UBORA VYA FIFA
Shirikisho la Soka Duniani, FIFA limetoa orodha ya viwango vya soka duniani vya mwezi huu.
Kwa mujibu wa viwango hivyo, Tanzania imeendelea kushikilia nafasi ya 135 Duniani kama ilivyokuwa mwezi uliopita.

Tanzania ambayo mwezi uliopita tulipanda kutoka nafasi ya 161 kwa nafasi zipatazo 26 ilikua ni kufuatia kushinda mechi mbili mfululizo dhidi ya Botswana na Burundi.