TETESI ZA USAJILI ULAYA 04/05/2017 - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

Thursday, 4 May 2017

TETESI ZA USAJILI ULAYA 04/05/2017Bayern Munich wamekamilisha mazungumzo na wakala wa Alexis Sánchez,kama mwendelezo wa kukamilisha usajili wa mchezaji huyo kutoka katika klabu ya Arsenal katika majira ya joto. (Daily mirror).Kalabu za Chelsea na Liverpool kwa pamoja zinaendelea kuyakodolea macho maendeleo ya beki kisiki wa klabu ya Southampton Ryan Bertrand(Daily Mirror imeripoti)


José Mourinho anamatazamio ya kuwapata Gianluigi Donnarumma na  Jan Oblak kama mbadala wa mlinda mlango wake David de Gea. (Source: Sun Sport)