STAND UNITED YATOA HAMASA KWA SERENGETI BOYS... - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

Friday, 5 May 2017

STAND UNITED YATOA HAMASA KWA SERENGETI BOYS...SeeBait

Klabu ya Stand United yenye makazi yake mjini Shinyanga imeipongeza timu ya taifa ya vija chini ya miaka 17 na kuzidi kuwapa moyo vijana kutokana na kile wanachokionyesha katika michezo mbalimbali ya kimataifa.


Serengeti boys ambayo iko ughaibuni kwa sasa kujiandaa na mashindano ya AFCON yanayotarajiwa kufanyika mapema mwezi huu huko nchini Gabon imekua na msimu mzuri baada ya kucheza michezo ipatayo 7 na kushinda 5 sare 1 na kupoteza mchezo mmoja.Stand United F.C on Twitter

Keep up the good work boys! @SerengetiBoys ni fahari ya #Tanzania 🇹🇿🇹🇿 Na watanzania tupo nyuma yenu. #GabonMpakaKombeLaDunia 🇹🇿 https://t.co/3sfUQnBSqh