POGBA:RASHFORD ALINIAMBIA NAENDA KUFUNGA GOLI LA FREE KICK. - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 5 May 2017

POGBA:RASHFORD ALINIAMBIA NAENDA KUFUNGA GOLI LA FREE KICK.


SeeBait


Paul Pogba amesema kua mchezaji mwenzake Marcus Rashford alijitabilia juu ya malengo yake ya kufunga goli kwa njia ya Free kick dhidi ya Celta Vigo kwenye  Europa League.

Hata hivyo utabiri wake ulifanikiwa mnamo dakika ya 67' alipopiga free kick iliyoimaliza Celta vigo na kuipatita klabu yake ya Manchester United ushindi wa goli 1-0 ukiwa ni ushindi wa awali katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali na hivyo kuiwekea mazingira mazuri klabu yake kufika katika hatua ya fainali.


United kwa sasa inahitaji sare yoyote au ushindi ili kutinga fainali ya michuano hiyo...