Klabu ya Manchester united imezidi kujiwekea mazingira mazuri ya kuutwaa ubingwa wa EUROPA baada ya jana usiku kuilaza klabu ya Celta vigo goli moja kwa sufuri.
United iliyowachezesha wa Romero,Valencia,Damian,Blind,Bailly,Fellaini,Lingard,Herrera,Pogba,Rashford,na Mikhitaryan ilojipatia goli hilo kupitia kwa kinda wake Marcus Rashford mnamo dakika ya 67'.
No comments:
Post a Comment