Simba Hii, Mbona Watanuna Sanaa..Chama Atupiaaa - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Hii, Mbona Watanuna Sanaa..Chama AtupiaaaMabingwa watetezi wa ligi kuu bara, Simba SC wameuanza tena moto wao kwenye ligi kuu bara baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza.


Goli la Simba limewekwa kambani na Clatous Chama, dakika ya 81, Simba sasa umejikusanyia jumla ya pointi 31 wakiwa wanawapumulia kwa karibu vinara wa ligi kuu Yanga SC wenye Pointi 36.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz