WA UTATA WAFAHAMIKA KAGERA ASHINDA ATWAA POINTI 3 - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 25 April 2017

WA UTATA WAFAHAMIKA KAGERA ASHINDA ATWAA POINTI 3


 TFF imetengua maamuzi ya bodi ya Ligi Kuipa point 3 Simba vs Kagera na kuirudishia pointi zote timu ya Kagera sugar baada migogoro iliyodumu kwa mda wa taklibani wiki mzima huku zikiibuka taarifa mbalimbali zikiwemo za kweli na zile zisizo za ukweli juu ya utata wa pointi hizo.
 Katika maamuzi TFF imerejesha pointi 3 kwa Kagera sugar baada ya ushindi wa goli 2-1 dhidi ya simba katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa uwanja wa Kaitaba tarehe 02/04 mwaka huu na kua hakuna kukata rufaa