SIMBA YAPANGA KUAFANYA MAANDAMANO KUPINGA UAMUZI WA TFFKlabu ya Simba wapanga kuandaa maandamano ya amani yatakayo fanyika  tarehe 25 mwezi huu kwa lengo la kupeleka ujumbe kwa shirikisho la kandanda Tanzania juu ya maamuzi yake ya kuionea Simba 

Klabu hiyo imefikia uamzi huo saa chache baada ya kutoka kwa taarifa za shirikisho la soka nchini kumshitaki afisa habari wa klabu hiyo Haji Manara kwa madai ya kutoiheshimu sheria ya soka kutoliheshimu shirikisho hilo.

Artikel Terkait