Kikosi cha time ya yanga |
MATOKEO
Katika mchezo wa leo, mabigwa watetezi wa kombe la vpl Yanga imepata ushindi wa kwanza dhidi ya Ndanda FC katika dimba la Nangwanda Sijaona, ukiwa pia ni ushindi wao wa sita mfululizo katika ligi.Mabao ya yanga dhidi ya ndanda fc |
MSIMAMO
Baada raundi ya 19 kukamilika, msimamo wa VPL unaonesha Yanga ikizidi kuifukuzia Simba kileleni huku tofauti ikiwa ni pointi tano pekee, wakati Ndanda FC ikiendelea kubaki katika nafasi yake ya 13.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
No comments:
Post a Comment