BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 28 February 2018

ORODHA YA NYIMBO 15 ZILIZOFUNGIWA NA TCRA LEO

Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania

Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA).

Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imekataza nyimbo hizo kuendelea kurushwa kwenye vyombo vya habari mara moja, kituo kitakachokiuka amri hii kuchukuliwa hatua za kisheria.

Nyimbo hizo zina maadili ambayo ni kinyume na maadili na kanuni za huduma za utangazaji (Maudhui) 2005.
TCRA
Orodha ya nyimbo zilizofungiwa
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

3 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. Kwenye hili umakini mkubwa unahitajika juu ya kuzichunguza nyimbo na Kutoa adhabu, Sawa wamezifungia nyimbo ambazo zimetoka nje ya maadili yetu lakini hapo hapo unakuta kuna nyimbo ambazo hazikustahili kufungiwa mfano Jux Uzuri wako, Diamond platnumz Hallelujah, Young D Bongo Bahati Mbaya, Mimi binafsi sijaona tatizo lolote kwenye hizo nyimbo ila uonevu ndo umetumika vinginevyo watuambie sababu za kuzifungia tuelewe, maana msipojiangalia mikono yenu wenyewe itatumika kushusha muziki wetu 😠😠😠😠

    ReplyDelete