BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Showing posts with label IFGA. Show all posts
Showing posts with label IFGA. Show all posts

Monday, 8 January 2018

08 January

USIPITWE: FURSA KWA INNOVATORS KUTOKA IFGA KWA WATUWABUNIFU

Image result for apply
 IFGA (INNOVATION FOR THE FUTURE GENERATION AMBASSADOR)
LOGO HALALI YA IFGAIFGA (Innovation  for the Future Generation Ambassador) Inawaletea watanzania na vijana wote ulimwenguni fursa ya ubunifu iliyo pewa jina la innovation for future generation ambassador fursa yenye lengo la kuwakusanya vijana na watu wenye uwezo mpana wa kuzigeuza changamoto kuwa na chachu ya maendeleo katika jamii.