Baba na Mtoto Wadaiwa Kumuua Mama - EDUSPORTSTZ

Latest

Baba na Mtoto Wadaiwa Kumuua Mama
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 57 mkazi wa kata ya Puge wilaya ya Nzega mkoani Tabora anadaiwa kuuawa na kisha kuning’inizwa kwenye kamba ili aonekane amejinyonga.

 

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tabora ACP Sophia Jongo amesema tukio hilo limetokea Agosti 4, 2021 katika kijiji cha Isalalo tarafa ya Puge ambapo baba na mtoto wake walimuua kwa madai ya kwamba wamechoka kumuuguza na kutengeneza tukio aonekane kama amejinyonga.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz