-->

Type something and hit enter

OnImage result for zitto kabwe
Kutokana na kuuawa kwa mwanafunzi wa chuo kikuu NIT na jeshi la polisi wanasiasa na wananchi wamerahani vikali tukio hilo wakidai si jambo la kiubinadamu.
Zitto kabwe kupitia ukurasa wake ameweza kuandika haya


  Haya mlijua yatatokea. Wananchi wamechoshwa na sisi Viongozi kulialia. Tuwaongoze kwenye Njia Sasa. Wananchi wanasubiri maelekezo. Kaeni caucus ya wabunge mlazimishe Kamati Kuu, maelekezo yatoke. Sisi @ACTwazalendo tutawaunga mkono. Sisi tuligomea Uchaguzi, wajibu wenu MWONGOZO

ENDELEA KUFATILIA EDUSPORTSTZ KUPITIA MITANDAO YOTE YA KIJAMII KUPATA KINACHOENDELEA JUU YA SWALA HILI
Elimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

Click to comment
 
Blog Meets Brand