SUAREZ:TUTAWANYOOSHA EIBAR NA CHELSEA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 17 February 2018

SUAREZ:TUTAWANYOOSHA EIBAR NA CHELSEAImage result for LUIS SUAREZ

Mshambuliaji nyota wa Barcelona, Luis Suarez amesema wako tayari kwa ajili ya mechi zao mbili muhimu.

Amesema mechi ya Eibar kwa kuwa lazima wafanye vizuri nyumbani na kuwa mabingwa lakini wamejiandaa kwa ajili ya Chelsea mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, siku chache zijazo.


Mshambuliaji huyo ambaye anaunda pacha ya watatu kati yake, Lionel Messi na Coutinho, ana imani kubwa kuwa wataitwanga Eibar na baadaye Chelsea kufikia malengo yao.
Katika La Liga, sasa wao ndiyo vinara wa ligi hiyo huku wapinzani wao wakubwa Madrid wakionekana ni choka mbaya
Elimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment