VIDEO YA MBOWE; TUMEISHAJIPA KIBALI CHA KUFA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 17 February 2018

VIDEO YA MBOWE; TUMEISHAJIPA KIBALI CHA KUFA

 MBOWE
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe amewaambia Polisi kuwa wao tayari wameshajipa kibali cha kutangulia mbele za haki. Mbowe aliyasema hayo wakati akihutubia wananchi katika ufungaji wa kampeni Jimbo la Kinondoni.