WACHEZAJI WA SIMBA WALIO KWENYE MSAFARA KWENDA DJIBOUT - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 18 February 2018

WACHEZAJI WA SIMBA WALIO KWENYE MSAFARA KWENDA DJIBOUT


Image result for kikosi cha simba

Kikosi cha Simba kinaondoka leo kwenda Djibouti kwa ajili ya mechi ya ya keshokutwa Jumanne
.

Kocha Pierre Lechantre ameamua kumuacha mshambuliaji wake Laudit Mavugo kutokana na kuonekana hana msaada.

Ingawa hajaweka wazi, lakini Lechantre raia wa Ufaransa ameamua kusafiri na kinda Moses Kitandu huku akimuacha mshambuliaji huyo wa kimataifa.

Katika listi iliyotolewa inaonekana hakuna jina la Mavugo.

Wanaoondoka leo mchana:

Aishi Manula, Emmanuel, Erasto Nyoni, Mohamed Zimbwe, Asante Kwasi, Ally Shomari, Shomari Kapombe, Yusuf Mlipili, Bukaba, Juuko Murshid, James Kotei, Jonas Mkude, Muzamiru Yassin, Shiza Kichuya, Said Ndemla, Nicholas Gyan, Mwinyi Kazimoto, Moses Kitandu, Emmanuel Okwi na John Bocco.


Elimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment