SAMATTA ARUDI UWANJANI NA CHECHE ZILEZILE - EDUSPORTSTZ

Latest

SAMATTA ARUDI UWANJANI NA CHECHE ZILEZILE
Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amerejea tena uwanjani safari hii akiingia na kuisaidia timu yake kupata sare ya mabao 2-2 ikiwa ugenini Club Brugge.


Samatta aliingia katika dakika ya 74 kuchukua nafasi ya Karelis ambaye alifunga bao moja na kukosa penalti na wakati huo Genk ikiwa nyuma kwa bao moja.


Purukushani zake zilichangia presha upande wa wenyeji na mwisho wakapata penalti.


Samatta amekuwa katika wakati mgumu baada ya kuumia zaidi ya mwezi na ushee uliopita.Taratibu amekuwa akirejea katika kiwango chake huku mechi zote akiwa anaingia.
Elimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz