-->

Type something and hit enter

By On
Paul Pogba

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho alijibizana na kiungo wa kati mfaransa Paul Pogba na mlinzi raia wa England Phil Jones baada ya kikosi chake kulimwa na Newcastle wiki iliyopita. (Sun on Sunday)


Mourinho alifanya mkutano wa saa moja kukana tofauti zake na Pogba.


Meneja wa West Bromwich Albion Alan Pardew ana mechi mbili za kuokoa kazi. (Sun)

Paris St-Germain wanafikiria kutumia pauna millioni 30 kumsaini mlinzi wa Manchester United Marcos Rojo, 27. Mkataba wa raia huyo wa Argentina huko Old Trafford unafikia mwisho msimu ujao. (Sun)Eden Hazard

Mchezaji wa Chelsea mbelgiji Eden Hazard, 27, anasema yuko na furaha huko Stamford Bridge lakini hajasema kuwa hatakihama klabua hiyo siku za usoni. (Telefoot - in French)

Meneja wa zamani wa Chelsea Carlo Ancelotti hana fikra za kurudi Paris St-Germain kwa sababu anataka kurudi kwa Premier League. (Mirror)

Leicester wametuma maajenti kumtazama beki wa Benfica Andre Almeida, 27, na wing'a Rafa Silva, 24. Wachezaji wote hao walihusishwa na Leicester mwezi Januari. (O Jogo via Leicester Mercury)Mario Balotelli

AC Milan na Inter Milan wana nia ya kumsaini mshambuliaji Mario Balotelli, 27, kutoka Nice. Raia huyo wa Italia amekasirishwa kwa kupewa kadi ya njano wakati akimlalamikia refa kuhusu kisa ya ubaguzi wa rangi. (Sun)

Kiunga wa kati ya Manchester United Paul Pogba, 23, amerejea kwenye mazoezi baada ya kuwa mgonjwa kabla ya mechi ya Jumamosi ya kombe la FA ambapo Man United walipata ushindi dhidi ya Huddersfield. (Mail)
 Gareth Bale

Real Madrid wanataka kumuuza kwa zaidi ya pauni milioni 100 kwa wing'a Gareth Bale ili kumununua mashambulizi wa Chelesea Eden Hazard, 27. (Sunday

Chelsea watamuuliza mshambulizi raia wa Argentina Sergio Aguero, 29, ikiwa Manchester City iliongea na Hazard. (Star
Elimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment