SOMA ALICHOPOST DIAMOND PLATINUMZ ,AKIWAPA USHAURI WANAWE WAKIUME - EDUSPORTSTZ

Latest

SOMA ALICHOPOST DIAMOND PLATINUMZ ,AKIWAPA USHAURI WANAWE WAKIUME


Diamond Kiboko Awapa Ujumbe Mzito Watoto Wake "Uzuri Mlionao Kutoka wa Mama Zenu Mkaenda Kuniletea Wakwe Vijuso....Dah Mtanisikitisha Sana"
Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa onyo kali kwa vijana wake wa kiume Nilan na Daylan kwa kuwata asiwaletee wakwe vijuso.

Diamond katoa rai hiyo kwa watoto wake hao ambao amezaa na wanawake wawili tofauti ambao ni Zarina Hassan maarufu kama Zari The Boss Lady, na Daylan (AbdulLatif) aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.


Ikiwa bado siku moja iwe siku ya Wapenda( Valentine Day) Diamond na Hamisa walifikia makubaliano ya kumlea na kumuhuduamia mtoto wao wa kiume Dalyna, huku siku ya Valentine iligeuka mbawa kwa Diamond baada ya kumwaga rasmi na Zari The Boss Lady chanzo kikwa ni kutokuwa muwaminifu katika mapenzi yao.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz