ANAADIKA BASHE; TUKIO LA AKWILINI SI LA CCM, CHADEMA WALA WABUNGE NI LA KITAIFA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

Saturday, 17 February 2018

ANAADIKA BASHE; TUKIO LA AKWILINI SI LA CCM, CHADEMA WALA WABUNGE NI LA KITAIFA

Image result for BASHE
Anaandika bashe kupitia ukurasa wake wa instagram haya;

Huu ni Unyama Binti huyu hakua na kosa hakua na dhambi kama Tume ya Uchaguzi ingetoa Viapo vya Vyama mapema kusingetokea Maandamano na Vurugu kupelekea Binti huyu kufatiki

Ndoto zake Ndoto za Familia yake Ndoto za Rafiki zake zote zimepotea ,Tukiwa Tandale kigogo Ndugumbi Magomeni Tulisema Tume Itende Haki kwa Vyama vyote

Tukio hili la Mauwaji Tukio la Mauwaji la Kiongozi wa Chadema ndg Daniel ni matukio ambayo Lazima ipatikane Indipendent investigation haiwezekanj By election zote Mauwaji yanatokea hakuna anaefikishwa mbele ya Vyombo vya dola Hatuwezi kujenga Nchi bila Haki na wajibu ,Hatuwezi kujenga Nchi bila kulinda UHAI wa Mtanzania Kila Mtanzania lazima alindwe na uhuru wake ulindwe

Jambo hili si la Chadema si La CCM si la kwetu wa Wana Siasa jambo hili ni la watanzania wote lazima sote tuungane kudai Alietoa Uhai wa Binti huyu apatikane
Hili ni Jambo ambalo la kulaani
Justice for Aquilina B Aquilini
Elimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ