BARCELONA YATOA KICHAPO KWA EIBAR - EDUSPORTSTZ

Latest

BARCELONA YATOA KICHAPO KWA EIBAR


Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 16 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Eibar kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaa ya Ipurua mjini Eibar. Bao la pili lilifungwa na Jordi Alba dakika ya 88.
Elimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz