BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 31 January 2018

GOODNEWS: RAIS MSEVEN ATOA KIASI CHA MILLION 30 KWA MATIBABU YA RADIO MSANII KUTOKA KUNDI LA GOOODLYFE


Uganda: Rais wa Uganda Yoweri Museven ametoa kiasi cha Milioni 30 kwa ajili ya kufanikisha matibabu ya mwanamuziki maarufu wa kundi la #Goodlyfe, #Radio aliyepata ajali ya gari tarehe 23 mwaka huu,na taarifa zilizopo ni kuwa msanii huyo hali yake si nzuri jambo lililowafanya mashabiki wake kufanya maombi maalumu siku ya Jumapili #February4, 2018 ili kumuombea afya yake iweze kuimarika.
#WePrayForU.
Cc: @jchameleonElimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment