BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 31 January 2018

PIERRE EMERICK MIKONONI MWA ARSENAL KWA ADA YA EURO 56MPierre-Emerick Aubameyang amekamilisha uhamisho wa kutoka Dortmund ya Ujerumani na kujiunga na Arsenal kwa ada ya £56m sawa na zaidi ya billioni 160 za kitanzania.

Aubameyang ndio mchezaji wa kiafrika aliyefunga magoli mengi zaidi katika ligi kuu ya Ujerumani - Bundesliga. Amefunga magoli 98.
Namna alivyofunga magoli hayo 98.

Inside Box - 97

Outside Box - 1

Penalties - 10

Kichwa - 13

Right Foot - 64

Left Foot - 20

Sehemu nyingine za mwili - 1

#WelcomeToEPLBatman
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment