MDEE ALIAMSHA DUDE KUPITIA UKURASA WAKE WA TWITTER - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 7 January 2018

MDEE ALIAMSHA DUDE KUPITIA UKURASA WAKE WA TWITTER

halima mdee
Mbuge wa kawekupitia tiketi ya CHADEMA jana kupitia katika ukursa wake wa twitter ametupia jiwe lililo kuwa likimlenga rais JPM kutokana na sakata zima la ununuaji wa wanasiasa kwa kutumia mabilioni ya watanzania na swara zima la gharama za uchaguzi.


 Mbunge huyu amesema hayo kutokana na taarifa ya msemaji wa chama cha mapinduzi (CCM) polepole ya wabunge walioteuriwa kugombea nyadhifa ya ubunge kwa jimbo la kinondoni na siha.

 MBUNGE huyo ameyandika maneno yafuatayo;
Tuna Rais anayejinasibu ana uchungu sana na MATUMIZI ya FEDHA za UMMA.NI MWENYEKITI wa CHAMA anayesimamia ununuzi wa Viongozi wa kisiasa akiamini kabisa agenda yake ya kuua UPINZANI itafanikiwa. Na ni huyu huyu anayesimamia zoezi la MABILIONI kutumika kufanya CHAGUZI UPYA.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ