LIVERPOOL WAMEMNASA MRITHI WA COUTINHO - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 7 January 2018

LIVERPOOL WAMEMNASA MRITHI WA COUTINHOBaada ya saa kadhaa kupita toka club ya FC Barcelona ithibitishe kuwa imefanikiwa kumsajili staa wa Brazilkutokea club ya Liverpool ya England Philippe Coutinho, Liverpool wameripotiwa kuwa wapo katika hatua za mwisho za kumsajili staa wa Leicester City Riyad Mahrez.

Liverpool wameripotiwa kuwa January 7 2018 watamfanyia vipimo vya afya Riyad Mahrez raia wa Algeria na akifuzu vipimo hivyo watampa mkataba wa miaka minne wa kuitumikia Liverpool kwa ada ya uhamisho wa euro milioni 55.


Riyad Mahrez

Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni saa chache zimepita toka Liverpool waingize pound milioni 142 kwa kumuuzaCoutinho ambaye Riyad Mahrez ndio wanamsajili kama mbadala wake, Liverpool walimsajili Coutinho mwaka 2013 akitokea Inter Millan ya Italia kwa pound milioni 8.5.


Philippe CoutinhoEDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji.
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment