HABARI NJEMA KUTOKA KWA MBWANA SAMATTA KWA WANASOKA NA WATANZANIA - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 7 January 2018

HABARI NJEMA KUTOKA KWA MBWANA SAMATTA KWA WANASOKA NA WATANZANIA

Baada ya watanzania na mashabiki wa soka watanzania wakiwa wanasononeka kutokana na kipenzi chao na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta kusikia kuwa ameumia goti na kukaa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili alipoumia akiwa na timu yake ya KRC Genk ya Ubelgiji.Leo January 6 2017 Mbwana Samatta amewatangazia watanzania good news, Samatta amewajulisha mashabiki wake na watanzania kuwa baada ya kuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili sasa amerudi uwanjani na ameanza mazoezi mepesi mepesi.Samatta taarifa hizo amezitoa kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kuandika hivi “Nina furaha, kuanza mazoezi ya uwanjani baada ya kuwa nje kwa takribani miezi miwili kutokana na maumivu ya goti 👍”>>>SamattaEDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment