ALICHOPOST MASAU BWIRE LEO AKIJIAMINI KUHUSU MCHEZO WA LEO | EDUSPORTSTZ -->

Type something and hit enter

OnPakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

Kuanzia asubuhi na mapema leo, Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire alitupia mtandaoni picha ikimuonyesha akiwa amevaa kandambili za kijani na njano, halafu hakueleza kitu.


Baada ya kuona picha yake hiyo imesambaa sana, Bwire aliamua kutoa ufafanuzi kwa nini amevaa kandambili za njano na kijani.


"Hizi nilizokanyaga ni za kukanyagia, leo tunakanyaga".


Kumbuka leo, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanawavaa Ruvu Shooting wakiwa wenyeji wao jijini Dar es Salaam.


Baada ya kutafutwa na SALEHJEMBE, Bwire amesisitiza kuwa kweli "wanakanyaga".


"Kweli wakati mwingine nimekuwa nikisema lakini haitokei, lakini leo hatutakuwa na utani.


"Tuna kikosi bora na walimu wetu wameangalia makosa ya Yanga. Hivyo tutakachofanya ni kumaliza kazi kupitia kikosi chetu bora."


Yanga iko katika nafasi ya tano katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 22 huku Shooting wakielea katika nafasi 15 wakiwa na pointi 11, tofauti ya pointi 11 dhidi ya Yanga.EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ
Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment
 
Blog Meets Brand