AZAM WAMSHUSHA SIMBA KILELENI RASMI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 21 January 2018

AZAM WAMSHUSHA SIMBA KILELENI RASMI
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

Azam FC imeendelea kupambana baada ya kurejea katika msitari wa ushindi ikiitwanga Prisons kwa mabao 2-0.


Pamoja na kuwa ugenini kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, Azam FC imeweza kuandika ushindi ikifunga mabao yake yote mawili katika kipindi cha pili.


Bao la kwanza la Azam lilipatikana katika dakika ya 70 kupitia beki wake, Yakubu Mohamed.


Wakati Prisons wakipambana kusawazisha, Paul Peter aliandika bao la pili katika dakika ya 81 na kuihakikishia Azam FC pointi tatu.Kwa ushindi huo, Azam FC wanafikisha pointi 30 na kupaa kileleni mwa Ligi Kuu Bara na Simba wanaocheza ugenini dhidi ya Kagera kesho, wako nafasi ya pili wakiwa na pointi 29.EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ