ALICHO KIPOST LEMA JUU YA MATUKIO YA UTEKAJI NA UKAMATAJI WA WATU AKIWEMO MASOUD KIPANYA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 2 January 2018

ALICHO KIPOST LEMA JUU YA MATUKIO YA UTEKAJI NA UKAMATAJI WA WATU AKIWEMO MASOUD KIPANYA

Image result for LEMA
Godbless lema Mbunge wa Arusha mjini kupitia ticket ya CHADEMA ameonesha kuguswa kwake katika swara zima la ukamatwaji wa viongozi wa kisiasa, wafanyabiashara na watu binafsi ikiwemo pia sakata la kukamatwa kwa mtangazaji wa clouds media na mchoraji maarufu wa katuni nchini masoud kipanya siku ya jana tarehe 01,1,2018 Kutoka na katuni aliyoichora iliyodaiwa kuonesha ishara za uchochezi nchini. Mbunge huyo ameyaandika maneno haya katika ukurasa wake wa twitter;Mateso ya wakati huu ni vyema kuyavumilia,ndani ya uvumilivu njia ya kweli itazaliwa,ilikuwa ni Wanasiasa ambao walizoea kupitia dhoruba hizi lakini sasa ni Maaskofu , Masheikh,Waandishi,wafanyabiashara.Siku inakuja ambapo maadui watakuwa marafiki kutafuta kusudi moja yaani HAKI.
Ninafikiri kuna mambo yanafanywa kwa sababu jamii imejaa hofu haswa Jeshi la Polisi,kama ni kweli Masudi Kipanya amekamatwa!Nina uhakika sasa ni muhimu watu wote watambue kuwa hakuna tena aliye salama,hata wewe unayetekeleza amri ya aina hii pia hauko salama.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ