TRUMP AMWALIKA KENYATA NCHINI MAREKANI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 26 December 2017

TRUMP AMWALIKA KENYATA NCHINI MAREKANI

SERIKALI ya Kenya chini ya Rais Uhuru Kenyatta imepokea mwaliko kutoka nchini Marekani kuhudhuria katika hafla ya kuwashukuru kwa kuendeleza urafiki itakayofanyika Januari 13, 2018.

Mwaliko huo umekuja ikiwa ni baada ya Kenya kuwa miongoni mwa nchi ambazo hazikupiga Kura ya kupingana na uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuutambua Jerusalem kuwa Mji Mkuu wa Israeli

Siku moja kabla ya zoezi la upigaji kura, Rais Trump alionya kukata misaada kwa nchi zote ambazo zingepiga kura ya kumpinga

Tanzania ni miongoni mwa nchi 128 ambazo zilipiga kura ya kumpinga Rais Donald Trump huku Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi 9 pekee zilizomuunga mkono.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno