BARUA YA MBUNGE WA SIHA KUHAMA CHADEMA, NA KUJIUNGA CCM - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Thursday, 14 December 2017

BARUA YA MBUNGE WA SIHA KUHAMA CHADEMA, NA KUJIUNGA CCM
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Chadema, Dr. Godwin Mollel.

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia CHADEMA, Dr. Godwin Mollel ametangaza kujivua uanachama wa Chama hicho kuanzia leo na kujiuzulu Ubunge, amedai anamuunga mkono Rais Magufuli ambaye anapigania rasilimali za nchi yetu.


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno