SOMA MAKAVU YA MKE WAJOTI KWA STEVE NYERERE KUPITIA INSTAGRAM - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 30 October 2017

SOMA MAKAVU YA MKE WAJOTI KWA STEVE NYERERE KUPITIA INSTAGRAM


Mzazi Mwenzie na Joti Ampa Makavu Steve Nyerere 'Wewe ni Mkubwaa Jielewe Ufupi Usikufanye Ukajiona Bado Mdogo'

Mwanamama aliyezaa na msanii wa vichekeshomaarufu kama Merisa Bushoke amemtolea povu Steve Nyerere baada ya kumpongeza Joti kwa kufanikisha kufunga ndoa .
Kupitia ukrasa wake wa instagram steve Nyerere alianza kwa kuandika hivi

"Hii ni familia mpya ndugu yangu Joti ' hakuangalia ule usemi mama wa kambo si mtu mzuri ameangalia mapenzi na utu wa anayemuoa kwa watoto wake na familia yake si wamama wakambo wote wana roho mbaya apana, bali mazingira ya hiyo roho inawekwa na wewe baba kama huna misimamo ya familia yako kwa mwanamke mwenyewe mwenye kukupenda wewe atapenda na watoto wako na familia yako. Joti jana ulilia ukumbini nikajiuliza kwanini ulilia nikapewa jibu mtoto wako amepata mtoto bora huo nao ni ujasiri sana kuhakikisha mama huyo mnayeingia naye mkataba wa kidini anakuwa mama bora, tumekuwa watu wa kukalili unayezaa naye ndio mama bora kumbe si kweli Joti umetengua kauli Joti wewe ni shujaaaa,,,,," aliandika steve Nyerere

Baada ya posti hiyo ya Steve nyerere mwanamama huyo naye akajibu kupitia ukrasa wake wa Instagram ameandika hivi na kumtagi Steve Nyerere

"Naitaji kusema hivi huyu mtoto wangu na mm ndo niliemzaa haata mama awe chizi, tahila, mjinga ndo mama ake na hatokuja kutokea yoyote ukafananisha upendo wake na mama yake kwa hiyo sitaki maneno na mtu yeyote kama unataka kupongeza kitu kizuri kilichoanyika tumia maneno yasiyomuhusu mwanangu nadhani umenielewa na maana yako nini kuongea ulichoongea sijapenda wewe ni mkubwaa jielewe ufupi usikufanye ukajiona bado mdogo @stevenyerere2 @stevenyerere2"like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment