TETESI ZA SOKA LA ULAYA LEO TAREHE 30.10.2017 - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI ZA SOKA LA ULAYA LEO TAREHE 30.10.2017


Philippe Coutinho

Paris St-Germain wamemuorodhesha mchezaji wa safu ya kati wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, kuwa nambari moja kati ya wachezaji ambao wanalenga kuwasaini msimu ujao. (TF1 - in French)

Manchester City wanaamini kuwa wanaweza kumpata mchezaji wa kiungo cha kati wa Real Madrid, Isco, 25, licha ya yeye kusaini mkataba wa muda mrefu huko Bernabeu. (Don Balon, via Daily Express)Arsene wenger

Arsenal watampa mashambuliaji Eddie Nketiah, 18, mkataba mpya wa miaka mitano ambapo mshahara wake utakuwa kati ya pauni 2,000 hadi 15,000 kwa wiki. (Sun)

Huku Meneja wa Burnley Sean Dyche akihusishwa na kuchukua kazi huko Everton, mlinzi Stephen Ward amesema kumpoteza itakuwa pigo kubwa. (Times - subscription required)David Moyes

Ikiwa Dyche ataondoka, Burnley watajaribu kujaza nafasi yake na aliyekuwa meneja wa Everton na Manchester United David Moyes. (Sun)

Huenda meneja wa Sunderland Simon Grayson akafutwa ikiwa klabu yake haitaishinda Bolton siku ya Jumanne. (Daily Star)

Meneja wa Manchester United anasema kuwa hana uhakika ikiwa Paul Pogba atakuwa sawa kucheza. (Daily Mirror)Alexi Sanchez

Meneja wa Arsenal anasema kwa mshambuliaji Alexi Sanchez ana mkataba kuifanyia mema Arsenal wakati watacheza na Manchester City siku ya Jumapili. (Telegraph)

Mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale huenda akakosa mechi dhidi ya klabu yake ya zamani Tottenham katika Champions League siku ya Jumatano. (Times - subscription required)

 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI










Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz