LIGI Kuu Bara inarejea leo kwa mechi tatu zitakazopigwa katika mikoa mitatu tofauti, huku kila timu ikisaka pointi tatu muhimu katika kuendeleza malengo yake ya msimu wa 2026/27. Mashujaa FC vs Polisi Tanzania (Saa 8:00 Mchana – Kigoma) Mchezo wa mapema utapigwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma, ambapo wenyeji Mashujaa FC watawakaribisha Polisi Tanzania. […]
The post Ligi Kuu Bara Leo: Mechi Tatu Moto Kupigwa Mikoani, Vita ya Pointi Tatu Kusuka au Kutengua appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/okeG94R
via IFTTT
Post a Comment