Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa taarifa rasmi kuhusu kurejea kwa kikosi hicho nchini kikitokea Afrika Kusini, huku akikanusha vikali uvumi wa majeraha wa mshambuliaji wao hatari, Libasse Gueye. Simba imekuwa nchini Afrika Kusini kuweka kambi fupi ya kujiandaa na mechi zinazofuata, na sasa wamerejea nchini wakiwa kamili […]
The post Ahmed Ally Afunguka: Utata wa Majeraha ya Libasse Gueye na Maandalizi ya Dabi ya Kariakoo Uwanja wa Uhuru appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/QAdzDpS
via IFTTT
Post a Comment