Kibanage Atoa Onyo Simba SC: “Msibweteke, Mbele Kuna Dabi na Champions League!”

Beki wa kushoto wa Simba SC, Nickson Kibanage, amewataka wachezaji wenzake, benchi la ufundi pamoja na viongozi wa klabu hiyo kuweka pembeni sherehe za matokeo mazuri ya mwanzo wa msimu na badala yake kuongeza umakini mkubwa kwa ajili ya michezo migumu inayowakabili mbele yao. Kibanage ameeleza kuwa ingawa kiwango kizuri ambacho Simba SC imekionyesha katika […]

The post Kibanage Atoa Onyo Simba SC: “Msibweteke, Mbele Kuna Dabi na Champions League!” appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/UptPg8e
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post