Kombe la EPL Kuwasili Tanzania Kesho: Kila Kitakachojiri Dar es Salaam!

DAR ES SALAAM, TANZANIA — TUKIO la kihistoria linatarajiwa kutokea nchini kesho Ijumaa, Oktoba 9, wakati Kombe rasmi la Ligi Kuu England (EPL) litakapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, likiambatana na viongozi wa juu wa ligi hiyo maarufu duniani. Tukio hili adhimu linalenga kuwapa mashabiki wa […]

The post Kombe la EPL Kuwasili Tanzania Kesho: Kila Kitakachojiri Dar es Salaam! appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/QGNzKA2
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post