Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC, wanarudi tena uwanjani leo kuikabili Geita Gold FC katika mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku kila timu ikisaka pointi tatu muhimu. Yanga inaingia katika mchezo huu ikitoka kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Gaborone United kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Mchezo […]
The post Yanga vs Geita Gold Leo: Yanga Kusaka Points 3 na Mabao Ligi Kuu Bara appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/O0n9rHM
via IFTTT
Post a Comment