Barker Afichua Siri ya Simba Kuilaza Wanderers 6-1, Aitishia Azam FC

Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema ushindi mnene wa mabao 6-1 dhidi ya Mighty Wanderers ya Malawi haukuwa wa bahati, bali ulikuwa mpango mkakati wa timu yake kuanza mchezo kwa kasi kubwa na presha ya juu. Simba ilionyesha utawala wa hali ya juu katika mchezo huo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika […]

The post Barker Afichua Siri ya Simba Kuilaza Wanderers 6-1, Aitishia Azam FC appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/yfAUzaP
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post