Mshambuliaji mpya wa Yanga, Cheikh Ibrahima Touré, amewatoa hofu mashabiki wa klabu hiyo baada ya kueleza kuwa hana presha yoyote licha ya kuanza msimu bila kufunga idadi kubwa ya mabao kama ilivyotarajiwa. Touré, aliyetua Wananchi akitokea klabu ya Al-Jabalain FC ya Saudi Arabia—ambako msimu uliopita alitikisa nyavu mara 19 na kutoa asisti tano kwenye mechi […]
The post Cheikh Ibrahima Touré: Sina Presha Yanga, Mabao Yatakuja Hivi Karibuni appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/V49IHv7
via IFTTT
Post a Comment