MSHAMBULIAJI hatari wa Yanga SC, Peter Shalulile, ameweka wazi kuwa ushindi wa mabao 2-1 walioupata dhidi ya Gaborone United ya Botswana ni sehemu ya mpango wa Mungu, huku akisisitiza kuwa kikosi hicho kina uwezo wa kufanya makubwa zaidi msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga SC ilifanikiwa kutinga hatua inayofuata ya Ligi ya Mabingwa […]
The post Shalulile Aweka Wazi Mpango wa Mungu Yanga SC Baada ya Kuiondosha Gaborone United appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/n432PQj
via IFTTT
Post a Comment