Ligi Kuu Tanzania Bara Leo: Vita ya Pointi Sheikh Amri Abeid & Mkwakwani!

Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Jumamosi kwa mechi mbili za kukata na shoka katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha na Mkwakwani jijini Tanga. Polisi Tanzania v Mbeya City (Saa 10:00 Jioni) Pale Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Polisi Tanzania itakuwa na dakika 90 za kusaka matokeo chanya baada ya kupoteza mechi mbili […]

The post Ligi Kuu Tanzania Bara Leo: Vita ya Pointi Sheikh Amri Abeid & Mkwakwani! appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/GQtJ9Ts
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post