Lisa Baum Aanza Na Bao Arsenal Dhidi Ya Brighton WSL

LONDON, ENGLAND: Mshambuliaji mwenye asili ya Tanzania, Lisa Baum, ameanza maisha yake ndani ya Arsenal ya Wanawake kwa kishindo baada ya kufunga bao katika mchezo wake wa kwanza kabisa wa Ligi Kuu ya Wanawake England (WSL) dhidi ya Brighton uliochezwa uwanja wa Broadfield, leo Jumapili Septemba 6, 2026. Baum (19) alihitaji dakika 10 pekee kufungua […]

The post Lisa Baum Aanza Na Bao Arsenal Dhidi Ya Brighton WSL appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/GXnaoN3
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post